WATU 10 WABAINIKA KUFA MOTO KWENYE KIVUKO CHA ITALIA

 Greece Ferry FireWaokoaji wamekuwa wakipambana na upepo mkali pamoja na wimbi ya bahari kuwaokoa  abiria ambao wamekwama ndani ya kivuko kimoja cha Italia kilichokuwa kimeshika moto kwenye bahari ya Adriatic Jumapili(Dec.28).

Taarifa kutoka katika vyombo vinavyohusika na usafiri wa majini nchini Italia zinasema kuwa moto huo umezimwa kufuatia vyombo mbalimbali nchini humo kushirikiana ambapo wakati wa zoezi hilo helkopta zilikuwa zikiwachukua abiria waliokuwa ndani ya kivuko hicho.

Juhudi za meli nyingine za kuwaokoa katika kivuko hicho zimeathiriwa na hali mbaya ya hewa na mpaka hivi sasa watu 10 wamebainika kufariki Dunia huku mamia ya abiria wakikwama kuendelea na safari kutokanna na tukio hilo la moto.

Kivuko hicho kilichosajiliwa nchini Italia kwa jina la Norman Atlantic ilikuwa na abiria karibu 500 na wahudumu wakati ilipotuma wito wa kuomba msaada baada ya moto kuzuka kutoka ghorofa ya chini ya meli iyo.

 

Greece Ferry Fire

Greece Ferry Fire

Muhanga wa ajali iyo akihojiwa na waandishi wa habari

APTOPIX Greece Ferry Fire

Picha iliyopigwa kwa mbali ikionyesha kivuko hicho kikiteketea kwa moto

Greece Ferry Fire

Majeruhi akipatiwa msaada wa huduma ya kwanza na kikosi cha waokoaji

Greece Ferry Fire

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s