VIDEO : JUSTIN BIEBER APIGWA MWEREKA WA NGUVU NA SKATEBOARD

Justin BieberSupastaa justin Bieber amenusurika kupoteza meno ya barazani baada ya kupigwa mwereka wa nguvu na ubao wa kutelezea(skateboard) hali iliyopelekea adondoke kwenye ngazi wakati alipokuwa akiwaonyeshea mashabiki wake ujuzi wa kukitumia kifaa hicho chenye matairi manne jirani kabisa na ukumbi wa Madison Square wikiendi iliyopita. Itazame video hapo chini uongeze siku za kuishi

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s