MABAKI YA NDEGE YA AIR ASIA YAONEKANA CHINI YA BAHARI

245505AD00000578-0-image-a-6_1419958269857

Kikosi cha uokoaji na Utafutaji kikiwa kimebeba miili ya abiria waliokuwa kwenye ndege ya Air Asia

Hatimaye mabaki ya ndege ya Indonesia ‘Air Asia’ iliyokuwa na abiria na watumishi 162 iliyotoweka tangu Jumapili(Dec.28)  imepatikana ikiwa chini ya bahari karibu na kisiwa cha Borneo.

Mkuu wa idara ya utafiti na uokozi ya Indonesia, Bombang Soelistyo amesema vikosi vya uokoaji viliokoa miili 40 katika bandari ya eneo hilo huku juhudu za kuifikia miili mingine iliyoko ndani ya ndege iyo zikiendelea.

Watafutaji wa ndege iyo kutoka angani waligundua kitu kinachoonekana kama kivuli chini ya bahari ambapo walikifuatilia na kuigundua kuwa ni ndege iyo.

Miili ilipatikana mara baada ya kugundulika kwa mabaki ya ndege pamoja na kitu kilichoonekana kuwa kifaa cha kujiokoa baharini, mizigo na mlango wa dharura uliopakwa rangi nyeupe na nyekundu.

2452C40100000578-2890541-image-a-42_1419919531062

Mabaki ya ndege ya Air Asia yakielea baharini

2452E6BB00000578-2890541-image-m-2_1419927852585

Mabaki ya Air Asia yaliyowasaidia watafutaji kujua sehemu ilipoangukia ndege

2452E93000000578-2890541-image-a-7_1419929264386

Raia wa Indonesia wakilia baada ya kupewa taarifa ya kupatikana kwa ndege ya Air Asia chini ya bahari

2452E93500000578-2890541-image-a-5_1419929242846

Ndugu waliopoteza wapendwa wao kwenye Air Asia wakilia mara baada ya kupewa taarifa ya kupatikana kwa ndege ya Air asia chini ya bahari

2453FE8000000578-0-image-a-18_1419933249862

Vilio na simanzi vyatawala Indonesia

2454B12D00000578-2890541-image-m-42_1419949367599

Wafanyakazi wa vikosi vya uokoaji wakiifunika miili ya abiria wa Air Asia waliopatikana chini ya kina cha bahari ya java

2454B12100000578-2890541-image-m-44_1419949387079

Mtungi wa ndege ya Air Asia uliokutwa ukielea baharini

2454B70900000578-2890541-image-a-45_1419949837600

Bosi wa  ndege ya Air Asia akitangaza kupatikana kwa ndege iyo

2454E53D00000578-2890541-image-a-53_1419953040434

Vikosi vya usalama na uokoaji vikiwa vimebeba miili ya abiria waliopatikana kwenye ndege ya Air Asia chini ya bahari

2454CB9F00000578-2890541-image-a-4_1419958240152 2454E50800000578-2890541-image-a-3_1419958214572 24542AD800000578-2890541-image-a-36_1419937715076  245538D100000578-0-image-a-12_1419960057947 2453173E00000578-2890541-Stacks_of_body_bags_are_seen_being_prepared_for_transportation_t-a-2_1419931000353 2453178A00000578-2890541-Stacks_of_body_bags_are_seen_being_prepared_for_transportation_t-a-1_1419931000278 2453165900000578-2890541-image-a-4_1419929090074

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s