PICHA : MAFURIKO YAUA WATU 24 NA KUACHA 160,000 BILA MAKAZI HUKO MALAYSIA NA THAILAND

 2448681800000578-2888523-image-a-108_1419700028275

Takribani watu 160,000 wameachwa bila makazi tangu kuanza kwa mafuriko  katikati ya mwezi Desemba mwaka huu nchini Malaysia na Thailand huku watu wapatao 24 wakiripotiwa kufariki Dunia kutokana na mafuriko hayo kwa mujibu wa ripoti iliyotoka hivi karibuni.

Mamlaka ya malaysia imeliambia shirika la habari la Reuters juu ya kuwepo kwa uwezekano wa kuendelea kunyesha mvua kwa wiki nyingine.

Jumla ya Vifo vya watu 24 vinajumuisha watu 10 kutoka Malaysia na 14 kusini mwa Thailand.

Taarifa hizo za mafuriko zinakuja kufuatia waziri mkuu wa Malaysia ‘Najib Razak’ kushtumiwa na wananchi wake kwa kitendo chake cha  kucheza gofu na Rais Obama huko Hawaii wakati mafuriko yakitokea nchini kwake.

Hata hivyo waziri mkuu uyo alinukuliwa na vyombo vya habari akisema nchi yake inahitaji msaada wa zadi dola milioni 500 kurejesha miundo mbinu iliyoharibka  na mafuriko hayo katika hali yake ya kawaida na kuongeza kuwa serikali yake imeshawapa huduma zote za lazima wahanga wa tuko hilo.

24443BF100000578-2888523-image-a-100_1419700003707

Vikosi vya uokoaji vikisaidiana na wakazi wa Thailand kuingiza majeruhi kwenye helkopta

24486BA200000578-2888523-image-a-104_1419700017839

Watoto wadogo wakitazama mafuriko

2448556500000578-2888523-image-a-102_1419700012797

Mzee wa makamu akijikokota na boti ya kienyeji huko Malaysia

2448671000000578-2888523-image-a-107_1419700021088

Majeruhi wakisubiria kunusuriwa

article-3c89117b-7f66-45a7-95e1-3698c91a194c-6V76bDqr8-HSK1-642_634x440

Wahanga wa mafuriko nchini Thailand wakiwa kwenye boti baada ya kuokolewa

article-3c89117b-7f66-45a7-95e1-3698c91a194c-6V76UJuDzHSK2-186_634x421

Taswira ya kituo cha mafuta kikiwa kimezingirwa na maji

article-3c89117b-7f66-45a7-95e1-3698c91a194c-6V76V5XMEHSK2-386_634x415

Mhanga wa mafuriko akiwa juu ya magogo ya miti akingojea msaada

Flood situation worsens in north-east Malaysia

picha ya juu ikionyesha eneo la lililokumbwa na mafuriko nchini Malaysia

24421DAD00000578-2888523-image-a-94_1419698872662

Waziri mkuu wa malaysi Najib Razak akijeza mchezo wa gofu na Rais Obama Hawaii wakati nchi yake ikikumbwa na mafuriko

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s