PICHA 35 ZA ZIARA YA KIMUZIKI YA DIAMOND NCHINI BURUNDI

Msanii nyota wa muziki wa Bongoflava, Naseeb abdul ‘Diamond Platnumz’ ameangusha shoo ya nguvu katika mji mkuu wa Burundi ‘Bujumbura’ usiku wa kuamkia leo(Dec.28) iliyohudhuriwa na umati mkubwa wa watu ikiwa ni moja ya ziara yake kimuziki.

Diamond aliondoka nchini Jumamosi(Dec.27) akiwa  na kikosi kizima cha Wasafi kupitia njia ya Kenya ambapo aliungana na mpenzi wake wa sasa Zarinah.   Fanya kutazama picha za ziara iyo hapo chini

Diamond na Rommy Jones

Diamond na Dj Wale ‘Rommy Jones’ wakiwa kwenye viunga vya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Nyerere waielekea kukwea pipa kuelekea Burundi

Rommy Jones, Diamond na Salam

Rommy Jones, Diamond na meneja wake Salam wakipa ukodaki nje ya uwanja wa Mwl.Nyerere

Rommy, Salam, Diamond na Mwarabu

Diamond, Dj, meneja na baunsa wake baada ya kutua kwenye uwanja wa ndege wa kenya ‘JKIA’ wakielekea Burundi

Diamond na zari

Diamond baada ya kupokelewa na mpenzi wake Zari uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta nchini Kenya

Diamond, Rommy, zari JKIA

Diamond akigonga msosi huku bwana shemeji Romy Jones akipata ukodaki na Zari wakati wakisubiri ndege ya kuwapeleka Burundi

Diamond akiwasili uwanja wa ndege wa Bujumbura

Diamond, Zari na crew ya Wasafi baada ya kutua Bujumbura

Diamond na crew nzima ya wasafi baada ya kuwasili Bujumbura

Msafara wa Diamond ukielekea sehemu ya parking ya magari tayari kwa kuelekea hotelini

Mapokezi ya Diamond Bujumbura

Bodaboda zikiusindikiza msafara wa Diamond kuelekea hotelini

Ziara ya Diamond Burundi

Diamond kwenye mkutano na waandishi wa habari mjini Bujumbura

Wadau waliokuwepo kwenye Press Conference

Wadau wakimpigia makofi Diamond wakati akizungumza kwenye mkutano na waandishi wa habari

Diamond akiongea na waandishi wa habari

Diamond akizungumza na waandishi wa habari

Mkutano na waandishi wa habari

Diamond na meneja wake wakizungumza na waandishi wa habari mjini Bujumbura nchini Burundi

Diamond mkutano na waandishi wa habari Bujumbura

Diamond akipata ukodaki na wadau baada ya mkutano na waandishi wa habari kumalizika

Diamond na Crew nzima ya Wasafi wakigonga msosi

Diamond na kikosi kizima cha Wasafi kikipata msosi kwenye hoteli waliyofikia huko Bujumbura

Mameneja wa Diamond katika picha

Mameneja wa Diamond wakipiga stori, wa kwanza kushoto ni Babu Tale, Salam na mkubwa Fella

Ziara ya Diamond nchini Burundi

Wapambe wa Diamond wakifanya mazoezi kwenye gym ya hoteli waliyofikia

Wacheza shoo wa Diamond wakicheza kwenye Swimmimg Pool

Dancers wa Diamond wakicheza kwenye bwawa la kuogelea

Picha za show ya Diamond Bujumbura nchini Burundi

Taswira kutoka chumbani kwa Diamond Platnumz kwenye hoteli aliyofikia

Picha za baunsa wa Diamond

Baunsa wa Diamond ‘Mwarabu’ katika pozi

Diamond akisema na mashabiki wa Burundi

Diamond akisalimiana na umati wa mashabiki wa Bujumbura

 

Diamond akiimba na mashabiki

Muda wa shoo ulipowadia,..Diamond akisalimia mashabiki wake

Diamond akifanya yake jukwaani

Diamond na wacheza shoo wake wakiwapa ladha raia wa Burundi

Bujumbura na Diamond

Diamond akiwaimbisha mashabiki

Diamond akiimba na watu wa Bujumbura

Diamond akiimba nitampata wapi na mashabiki

Diamond Bujumbura Burundi

Picha yenyewe inajieleza..unaweza ukaona nyomi ya mashabiki waliofurika kumshuhudia mfalme wa Bongo Fleva

Diamond Burundi Bujumbura

Mashabiki wakimshangilia Diamond Platnumz

 

Diamond na kikosi cha wasafi kazini

Diamond akikonga nyoyo za mashabiki

Diamond na Dancers wake

Diamond na wacheza shoo wake wakifanya yao jukwaani

Diamond Platnumz Buju

Diamond akiimba kwa hisia

Diamond Platnumz

Diamond akiimba nitampata wapi

Kila Mtu na Demu wake

Shabiki huyu alishindwa kuvumilia ikabidi apande kabisa jukwaani

Rais wa Wasafi Diamond Platnumz

Diamond akiwapa ladha mashabiki

Q Boy Msafi

Mmoja wa wapambe wa Diamond akisema na mashabiki

Show ya Diamond Bujumbura Nyomi ya wakazi wa Bujumbura

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s