MSAKO WA NDEGE YA AIR ASIA WAENDELEA BAHARINI

2450885B00000578-2889375-image-m-54_1419860939899Msako wa kuitafuta ndege ya shirika la Air Asia iliyopotea Jumapili(Dec.28) ikiwa na abiria 162 bado unaendelea huku meli 12, ndege 5, helkopta 3 na manuari za kivita zinatajwa kuwa eneo la kusini mashariki mwa Indonesia kwenye bahari ya Java karibu na kisiwa cha Belitung ambapo inahisiwa kuzama katika eneo hilo.

Ndege iyo yenye namba QZ8501 aina ya Airbus A320-200 ilipoteza mawasiliano na mnara wa kuongozea ndege baada ya rubani wake kuomba kubadilishiwa muelekeo kutokana na kuchafuka kwa hali ya hewa na hivyo kumlazimu kugeuza muelekeo na kwenda eneo ambalo alidhani lingekuwa salama.

Mamia ya wakazi waishio Indonesia wameendelea kumiminika kwenye uwanja wa ndege wa Juanda uliopo katika mji wa Surabaya kusubiria taarifa zaidi kuhusiana na ndugu zao waliopotea kwenye ndege iyo iliyokuwa ikitokea nchini  Indonesia kuelekea Singapore.

2450559A00000578-2889375-image-a-28_1419852973446

Mmoja wa wafanyakazi wa kikosi cha utafutaji akiwa kwenye ndege akitazama kwa makini baharini kuangalia kama kuna ishara yoyote

2450332800000578-2889375-image-a-25_1419851836005

Utafutaji ukiendelea

2450888200000578-2889375-image-m-55_1419860949719

Watafutaji wakiwa kwenye ndege yao wakiendelea na harakati za kuitafuta ndege ya Air Asia katika bahari ya Java

2450988100000578-0-image-a-32_1419856596997

Ramani ikionyesha eneo ilipopotea ndege ya Air Asia baada kupaa angani kwa takribani saa mojaikitokea kwenye uwanja wa Juanda, Surabaya nchini Indonesia

244F96D300000578-2889375-image-a-1_1419828644282

Binti akionyesha picha za ndugu zake waliopotea kwenye ndege ya Air Asia

244FA1FF00000578-2889375-image-a-11_1419829947854

Wakazi wa Indonesia waliopoteza ndugu zao wakifarijiana kwenye uwanja wa Juanda

244FDF4100000578-2889375-image-a-18_1419846619404

Ni vilio na majonzi

244FBC4900000578-2889375-image-m-24_1419847401593

Mwanamama aliyepoteza ndugu zake kwenye ndege ya  akilia kwa uchungu

244FE12F00000578-2889375-Family_members_of_people_on_Air_Asia_flight_QZ8501_pray_together-m-31_1419853226902

Ndugu, Jamaa na marafiki waliopotelewa na wapendwa wao wakilia

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s