IRENE UWOYA : FILAMU ZINALIPA

Irene UwoyaMsanii maarufu wa filamu nchini, Irene Uwoya ameweka wazi kuhusiana na filamu ambazo zilimuinua na kuweza kuliteka soko la filamu nje ya nchi kwa mwaka huu wa 2014 .

Irene ameelezea kuwa  filamu zimempa kipaombele na kuweza kufanya kazi nje ya nchi zikiwemo who’s my child na Satoga ambazo zote ziko sokoni.

Aidha Irene ameelezea kuwa pamoja na ushirikiano katika fani ya uigizaji , ameishukuru kampuni ya 5effects movies ambayo imempa sapoti kubwa ambapo kwa sasa wamejiandaa kutoa kazi mpya na kuufungua mwaka mpya.

Chanzo : E-Newz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s