ADHA YA MVUA JIJINI DAR LEO

Mvua ndogo iliyonyesha leo jijini Dar es salaam kwa takribani nusu saa imepelekea watu kufunga biashara zao na kuwapa adha watembea kwa miguu na wamilki wa vyombo vya moto hasa kwenye makutano ya barabara ya Morogoro na Bibi Titi ambapo maji mengi yalikuwa yametuama eneo hilo.  Tazama picha zaidi hapo chini.

dar es salaam

Hali halisi ilivyokuwa kwenye Makutano ya barabara ya Bibi titi na Morogoro baada ya mvua kunyesha

Adha ya mvua Dar es salaam

Foleni ndefu ya magari kwenye barabara ya Bibi Titi

Dar mvua

Wafanyabiashara ndogo ndogo wakiwa wametelekeza baiskeli zao kwenye makutano ya bibi titi na morogoro

Mvua Dar

Msururu wa magari eneo la Posta mjini

mvua hatari Mvua jijini Dar Mvua ya Dar mvua taswira ya mvua jijini Dar es salaamPicha kwa hisani ya Father kidevu

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s