PICHA ZA RIHANNA NA SHOSTI WAKE WAKILA BATA HUKO BARBADOS

Rihanna na Melissa Rihanna na shosti wake wa karibu ‘Melissa Ford’ wakila bata huku wakiwa wametinga vivazi vya ufukweni ikiwa ni sehemu ya mapumziko kwenye kisiwa walichokulia cha Barbados . Riri Bad gal Rihanna akipunga upepo kwa kutazama madhari safi na ya kuvutia baada ya kuikimbia mvua ya barafu inayoendelea kuanguka mjini New York nchini Marekani

RihannaPichani nyingine aliyo-post Rihanna kwenye ukurasa wake rasmi wa instagram akiwa hajatupia nguo nyingi mwilini mwake

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s