NDEGE YA AIR ASIA YAPOTEA ANGANI NA ABIRIA 162

AirAsia1Ndege mali ya shirika la Air Asia Flight No.QZ8501  iliyokuwa imepakia abiria 162, imepotea leo Jumapili(Dec.28) mishale ya saa 7:24 asubuhi  wakati ikitokea mji wa Surabaya huko Indonesia ikielekea nchini Singapore

Chanzo cha kupotea kwa ndege  iyo aina ya Airbus A320-200 inaelezwa  kuwa ni baada ya rubani kuomba ruhusa ya kubadilishiwa muolekeo wa njia kutokana na kuchafuka kwa hali ya hewa angani.

baada ya juhudu za utafutaji kwenye bahari ya Java, kikosi cha utafutaji na uokoaji cha Indonesia kiliviambia vyombo vya habari juu yakusitishwa kwa zoezi la uokoaji mpaka pale litakapoendelea tena  siku ya Jumatatu saa 6.00 asubuhi licha ya baadhi ya meli kuendelea na utafutaji wa ndege iyo.

Kaimu mkurugenzi mkuu wa usafiri wa Indonesia alisema kumekuwa hakuna ishara kutoka katika chumba cha marubani wa ndege iyo.

Ni matumaini yetu tunaweza kupata eneo la ndege haraka iwezekanavyo, na ni matumaini yetu kwamba Mungu atatupa muwongozo kuweza kuipata, Djoko Murjatmodjo aliwaambia waandishi wa habari. Hatuwezi kuthubutu kukisia kilichotokea isipokuwa kwamba kupoteza mawasiliano

Ndege ya Air Asia ilikuwa imebeba abiria 155 wakiwemo watoto 16 na mtoto mchanga mmoja, marubani wawili na wafanyakazi watano huku abiria wengi  wakiwa ni Raia wa Indonesia na sita wa kigeni.

Ndugu wa abiria waliopotea kwenye ndege ya AirAsia Flight QZ8501 wakifarijiana kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Juanda, Surabaya nchini Indonesia

Ndugu wa abiria waliopotea kwenye ndege ya Air Asia Flight QZ8501 wakifarijiana kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Juanda, Surabaya nchini Indonesia

AirAsia schedule

Pichani ni Ramani ya safari ya ndege ya Air Asia na muda uliyotakiwa kufika Singapore

Twitter

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s