DIAMOND, VANESSA MDEE, ELANI, WEASLE NA RADIO WANG’ARA TUZO ZA AFRIMA 2014 NCHINI NIGERIA

AFRIMA Tuzo za Africa Music Awards ‘AFRIMA’ zimefikia kilele chake usiku wa Desemba 27 baada ya kufanyika nchini Nigeria ambapo kwa ukanda wa Afrika mashariki tumefanikiwa kutwaa Tuzo nne kutoka kwa  Diamond(Tanzania), Vanessa Mdee(Tanzania), Elani(Kenya), Radio na Weasel(Uganda) katika vipengele 13 vilivyokuwa vinawaniwa.

Akionyesha kufurahia ushindi huo, Hitmaker wa Closer ‘Vee Money’ alipost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa ameshikilia Tuzo aliyopata ya Msanii bora wa kike Afrika Mashariki na kuandika, ”To God be the Glory, ThankYou soo much for voting – I love you #BestFemaleEastAfrica.  Utazame mkeka mzima wa washindi hapo chini.

Best African Pop

*Elani.

Best East African Male artist

 *Diamond.

Best East African Female Artiste

*Vanessa Mdee.

Best African Collabo

*Cocoa and Chocolate which has artists like Tanzania’s AY and others from Africa.

Best Producer (Eminado) 

*Don Jazzy.

Best African Reggae

*Radio n Weasel.

Artist of the year 

*Davido.

Album of the year

*Olamide. ( Baddest guy ever liveth)

Song of the year
*Aye by Davido.

 

Video of the year (Say)  

 *Bez.

 

Best African RnB

 *2Face Idibia.

 

Best African Hip Hop

 *Davido.

 

Best African Artiste 

 *Davido.
Vee Money AFRIMA

Vanessa Mdee, Victoria Kimani na wadau wakipata ukodaki kwenye after party ya Tuzo za AFRIMA

Peter Msechu

Peter Msechu akiwa ameshika Tuzo aliyopata Diamond ya msanii bora wa kiume Afrika mashariki.

Peter Msechu, Vee Money & victoria Kimani

Msechu, Vee Money na Victoria Kimani wakipata Selfie

Vee Money

Vanessa Mdee akiitazama Tuzo yake

Vee Money Nigeria

Mimi Hilo Gauni Tuu!! Vee Money katika pozi mbele ya mkoko hatari aina ya Rolls Royce Wraith pamoja na Tuzo yake

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s