USIKU WA WAFALME : DIAMOND, MZEE YUSUPH WAPAGAWISHA MAELFU YA MASHABIKI DAR LIVE SIKUKUU YA CHRISMAS

Mshindi wa Tuzo 3 za Channel O, Diamond na Mkali wa miondoko ya Taarab Bongo ‘Mzee Yusuph’ waliweza kuwakata kiu na kuwapagawisha mashabiki wao waliofurika kwenye kiota cha maraha ‘Dar Live’ Mbagala(Dec.25) kwenye Tamasha la Christmas lililopewa jina la usiku wa wafalme.  Tazama picha hapo chini ujionee  mambo yalivyokuwa

001.DARLIVE

Mkali wa miondoko ya Taarab na mmiliki wa bendi ya Jahazi Modern, Mzee Yusuph akiwalambisha mashabiki waliofurika kwenye ukumbi wa Dar Live(dec.25)

005.DARLIVE

Mashabiki wakimpa mikono mfalme Mzee Yusuph

d24

Rais wa Wasafi ‘Diamond Platnumz’ akiingia kwenye ukumbi wa Dar Live

d23

Diamond na uongozi wake wakisindikizwa eneo la V.I.P

d9

Diamond, mshindi wa Bog Brother ‘Idris Sultan’ wakishow love na mashabiki nyuma ya jukwaa

d8

Dj wa Diamond, Rommy Jones akifanya yake jukwaani

 

d21

Mashabiki wakionyesha mapenzi yao kwa Diamond kwa kushika raba yake wakati alipopanda jukwaani

d2

Diamond akiwasalimia mashabiki waliofurika Dar live

d3

Diamond akiwapungia mashabiki wake

d7

Baunsa wa Diamond ‘mwarabu’ akipiga push-up mbele ya maelfu ya mashabiki

d1

Diamond akionyesha Tuzo nyingine aliyopewa ya Ijumaa Sexiest Bachellor

d18

Diamond akisemezana na mashabiki wake

 

d11

Diamond akicheza sambamba na Dancers wake wa kike

d4

Baada ya mizuka kupanda, ikabidi avue koti

 

d5

Diamond akivua koti lake

d12

Dancers wa kike wa Diamond wakikata nyonga

 

d13

Mmoja wa Dancer maarufu wa Diamond, Moze Iyobo akifanya yake jukwaani

 

d6

Ni mwendo wa mdogo mdogo

d10

baada ya Diamond kumpandisha meneja wake mkubwa fella jukwaani

d14

Diamond akiimba sambamba na mashabiki

d15

Ulikuwa ni usiku wa historia ndani ya Dar Live

d16

Diamond akiwapagawisha mashabiki

d17

Meneja wa Diamond, Salam akionyesha manjonjo yake nae

d19

Diamond, Madancers wake wakicheza mdogo mdogo

d20

Shabiki huyu alishindwa kujizuia na kujikuta akibubujikwa na machozi mithili ya mtoto mdogo wakati Diamond akiimba jukwaani

d22

Tatizo Nyotaaaaa!!!

D25

Tuzo aliyotunukiwa Diamond na Global Publishers ya Ijumaa Sexiest Bachelor kwa mwaka 2014 – 2015

 

Advertisements

3 thoughts on “USIKU WA WAFALME : DIAMOND, MZEE YUSUPH WAPAGAWISHA MAELFU YA MASHABIKI DAR LIVE SIKUKUU YA CHRISMAS

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s