EXCLUSIVE : RAPA EMINEM AKIRI KUJIHUSISHA NA USHOGA

EminemRapa Eminem ametoa kali ya kufungia mwaka baada ya kukiri  kujihusisha na mahusiano ya jinsia moja yaani Ushoga wakati alipokuwa akihojiwa kwenye kipande kifupi cha filamu ya komedi ”The Interview” iliyochezwa na James Franco pamoja Seth Rogen  ambayo imetengenezwa na kampuni ya Sony Pictures.

Katika mahojiano hayo, Eminem alipigwa swali kuhusiana na mashairi ya nyimbo zake nyingi  kutokea kuwakera watu wazima.

Sio lazima niimbe vitu ninavyovichukia, zaidi ni kuhusiana na vitu ninavyovihofia”, alisema hitmker uyo wa Monster na kuongeza, ”Pindi naposema vitu kuhisiana na mashoga, au watu wanapodhani mashairi yangu yanawabagua, – ni kwasababu mimi ni shoga”.

Nawapenda wanaumeNashangazwa zaidi pale watu wanaposhindwa kuelewa bado. Namaanisha, ni kama vile nimekuwa nikicheza aina flani ya mchezo wa mashoga kuchagua wenzi wao”, alisema Eminem kwa utani. 

Kwa sasa Filamu ya ”The Interview” inapatikani kwenye Application ya Google Store na Youtube ambayo kimsingi inaelezea jitihada za kumuangamiza kiongozi wa Korea kaskazini ‘Kim Jong-Un’ kufuatia tuhuma zinazoikabili nchini yake ukiwemo wizi wa mtandao katika kampuni ya Sony Pictures, ukiukwaji wa haki za binadamu  pamoja na ugaidi.

Itazame Interview iyo hapo chini

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s