TAZAMA UKARABATI ULIOFANYWA KWENYE MJENGO ULIOIGIZIWA FILAMU YA HOME ALONE

home-alone-house

Pichani ni Mjengo uliotumika kwenye filamu ya Home Alone

Ni msimu mwingine wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya ambapo familia nyingi hujumuika pamoja na kusherekea, basi ningependa nikukumbushe kidogo  juu ya ukarabati uliofanywa kwenye ule mjengo ulioigiziwa filamu ya Home Alone iliyochezwa takribani miaka 25 iliyopita kama nyumbani kwa kijana mdogo mtukutu ‘McCallister’ au Kelvin.  Utazame hapo chini kabla na baada ya ukarabati then mwaga maoni yako.

 

bedroom-1

Chumba cha Kelvin wakati huo

bedroom-2

Chumba cha kelvin baada ya kufanyiwa ukarabati

dining-1

hivi ndivyo eneo la kupigia msosi(Dining Room) lilivyokuwa wakati filamu ya home alone ikiigizwa

dining-2

Dinin Room baada ya kupigwa ukarabati wa nguvu

kitchen-1

Eneo la jikoni enzi hizo

kitchen-2

Jikoni palivyo sasa

stairs-1

Ngazi za kuelekea vyumbani

stairs-2

Ngazi baada ya kufanyiwa ukarabati

Blogu ya larrybway91 inapenda kukutakia sikukuu njema ya Christmas na Mwaka mpya

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s