SHINDANO LA MISS TANZANIA LAFUNGIWA MIAKA MIWILI

 Hasheem Lundenga, Mkurugenzi wa kampuni ya Lino Agency ambao ni waandaji wa shindano la Miss Tanzania

Hasheem Lundenga, Mkurugenzi wa kampuni ya Lino Agency ambao ni waandaji wa shindano la Miss Tanzania

Wizara ya habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Baraza la Sanaa la Taifa ‘BASATA’ imelifungia shindano la Miss Tanzania kwa miaka miwili kutokana na sababu mbalimbali za ukiukwaji wa taratibu walizojiwekea, ikiwemo udanganyifu mkubwa unaojitokeza kila mwaka kwenye shidano hilo.

Maamuzi hayo yamechukuliwa na BASATA, ambapo Kaimu Mtendaji wa Baraza hilo Godfrey Mngereza amesema maamuzi hayo yalifikiwa baada ya kukaa kikao cha tathmini ambapo Kamati ya Miss Tanzania ilishindwa kujibu hoja za msingi za wadau na kukiri kuwepo udhaifu katika uendeshaji wa shindano hilo.

 “Baada ya kupitia maelezo yote na taarifa ya tathmini ya shindano hilo ni vyema tulisimamishe kwa muda ili mwandaaji ajipange upya, atakaporejea arejee kwa nguvu na kuandaa shindano lenye hadhi kubwa kuliko ilivyo hivi sasa” alisema Mngereza.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s