OMMY DIMPOZ AVUTA MKOKO MPYA

ommy Mwarabu wa kimanyema

Mwarabu wa Kimanyema ‘Ommy Dimpoz’ katika pozi

Msanii nyota wa muziki wa Bongofleva,  Omar Nyambo ‘Ommy Dimpoz’ ameamua kujipongeza katika msimu huu wa sikukuu za Christmas kwa kununua mkoko mpya aina ya Toyota Prado.

Hitmaker uyo wa Tupogo aliposti picha za mkoko wake kwenye mtandao wa Instagram na kisha kuandika, ”Christmas present for my self 😋😜……thanks Allaah for Everything Tukutane January Inshaallaah…for Big suprise ”.

Mkoko huo umeongeza idadi ya magari anayomiliki Dimpoz ukiwa ni wa pili  ukiacha Toyota mark X aliyonunua mwezi Oktoba mwaka jana.    Hard Work Pays Off Bro!!!

Ommy Dimpoz Ommy D1

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s