PICHA : BEYONCE, BLUE IVY WASHEREKEA BIRTHDAY YA JAY Z KATIKA KISIWA CHA ICELAND

 Beyonce1  Jay Z na Beyonce wakiwa ndani ya helkopta waliyokodi wakielekea katika kisiwa cha Iceland kula bata

BeyonceBeyonce akicheza na binti yake Blue Ivy kwenye helikopta

Jay X Bey IcelandBeyonce akikitazama kisiwa na Iceland kwa mbali

Jay ZJay Z akiwa ameuchapa usingizi kutokana na uchovu wa safari ndefu angani

icelandHali halisi ilivyo katika kisiwa cha iceland…Barafu imetapakaa kila kona

o-BEYONCE-570Beyonce akipata ukodani huku akiwa amejilaza kwenye ardhi yenye seruji ya Iceland baada ya kuwasili

Bey and Jay ZChampagne mbili zilizoandaliwa kwa ajili ya Mr & Mrs Carter

Jay Z X Beyonce KnowlesDrunk In Love!!! Jay Z na Beyonce wakigonga cheers baada ya kutua iceland

o-BEYJICELAND-570Jay Z na Beyonce wakipata ukodaki mbele ya maporomoko ya maji 

Jay X Bey X Christmas EveJay Z na Beyonce wakitalii katika kisiwa hicho chenye barafu

BeyBeyonce akiwa ndani ya bwawa la kuogelea katika hoteli waliyofikia

Bey X JayMr & Mrs Carter ndani ya Swimming Pool wakiponda  raha za Dunia

rs_560x415-141224102320-1024.beyonce-jayz3

Beyonce akimuandalia keki ya Birthday mumewe ambaye ametimiza umri wa miaka 45 (Dec.04) mwaka huu  katika hoteli ya kifahari ya Ultra Luxe Trophy Lodge

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s