DIAMOND AMPELEKEA RAIS KIKWETE TUZO IKULU

Diamond na Idris Sultan wanastahili pongeza za dhati  kwa kuweza kuitangaza vyema Tanzania katika medani ya muziki na burudani kufuatia ushindi mnono wa Tuzo tatu za Channel O na kuweza kuibuka kifua mbele kwenye shindano la Big Brother kwa kuzileta nyumbani dola laki 3 za kimarekani.

Katika kuthamini jitihada hizo, Jumanne(Dec.23) Rais Jakaya kikwete alimualika Ikulu ya Dar es salaam  hitmaker wa My Number ‘Diamond’   ambaye aliambatana na Tuzo zake tano za kimataifa alizozipata nje ya nchi ikiwemo ya Channel O, Afrimma, na Future ikiwa ni katika kumpongeza kwa kazi nzuri aliyofanya ya kulitangaza Taifa.

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na mshindi wa shindano la Big Brother 'Idris Sultan' kwa njia ya simu

Rais Jakaya Kikwete akimpongeza mshindi wa shindano la Big Brother ‘Idris Sultan’ kwa njia ya simu

Jakaya X Diamond

Diamond akipongezwa na Rais Kikwete kwa ushindi wa Tuzo tano za kimataifa alizozipata

Diamond Platnumz X Jakaya Kikwete

Diamond akipata ukodaki na Rais Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s