CHRISTMAS GIFT!! IGGY AZALEA AMZAWADIA MPENZI WAKE ‘NICK YOUNG’ MKOKO MUPYA

Iggy X Nick Young

Nick Young na Iggy wakiwa katika mahaba niue

Baada ya malumbano marefu kwenye mtandao wa twitter dhidi ya wasanii wenzake wa Hip Hop,  Rapa mzaliwa wa Australia ‘Iggy Azalea’ ameonyesha upendo wa hali ya juu kwa kumpa zawadi ya gari mpenzi wake mcheza kikapu ‘Nick Young’ katika msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya.

Iggy alimzawadia mpenzi wake gari jipya aina ya 1962 Chevy Impala lenye thamani ya dola za kimarekani 100,0000 ikiwa ni zawadi ya Christmas.

“My boo so dope!!!!! @thenewclassic thanks for the Christmas gift #LoveYou You Go Girl!!!! WestSide”  aliandika Nick Young kwenye ukurasa wake wa Twitter.

Zawadi iyo  ya gari ilikuja na bonge la kadi iliyoandikwa‘A gift for Swaggy P From: Iggy”. Swaggy P ni A.K.A ya Nick Young.

Swaggy P

Nick Young ‘Swaggy P’ akipata ukodaki kwenye mkoko mpya aliozawadiwa na mpenzi wake Iggy Azalea aina ya 1962 Chevy Impala

iggy-nick-xmas-gift-2

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s