BEN POL ANOGEWA NA FANI YA UIGIZAJI

Ben PolMwanamuziki wa R&B hapa Bongo, Ben Pol  amesema kuwa kuna uwezekano mkubwa wa yeye kuendelea kufanya kazi ya uigizaji endapo fursa zitajitokeza za yeye kuweza kufanya hivyo baada ya kuonyesha uwezo mkubwa katika fani ya kuigiza kupitia ushirika katika filamu ya Sunshine.

Staa huyo wa Jikubali amesema kuwa shavu alilopata la kushiriki katika filamu iyo lilikuwa ni wazo la Dairekta Karaban ambae aliona kuwa yeye anaweza ku-fit katika kazi yake na kumtaka kuendelea kushiriki katika fani ya uigizaji.

Akiongea kwenye mahojiano na E-Newz, Ben Pol alifunguka hivi, kwenye movie ile(akimaanisha Sunshine) nilipata tenda…nilipata kazi..yani Dairekta Karaban alikuwa yeye ana stori yake na movie yake akaona kwamba Ben Pol hapa anaweza akacheza vizuri, kwaiyo ndio akanifuata na kufanya mazungumzo tukacheza”. 

”Kwaiyo madairekta wengine..wadau wengine wa moie wanakaribishwa ..wakiwa na stori zao wakaona Ben Pol anafiti waje tuongee fresh tu , mimi napenda kazi nyingi” alisema Ben Pol

Vilevile staa huyo amezungumzia sababu za kuchelewa kutoka kwa makala aliyoifanya nchini Ujerumani mwaka huu na kudai kuwa imesababishwa na muingiliano wa vitu.

”Documentary haikutoka na yani zile material zote niko nazo …niko nazo material zote na sijampa mtu kwani sijapata mtaalamu wa kuipanga, kuiediti lakini iyo inatokana na muingiliano wa vitu” alisema Ben Pol

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s