TYGA AFIKIRIA KUMSHTAKI MAMA MTOTO WAKE KWA MALEZI MABAYA

Blac Chyna(wa kwanza kushoto) na Rpa Tyga wakimtazama mtoto wao akikata keki siku ya sherehe yake ya kuzaliwa

Blac Chyna(wa kwanza kushoto) na Tyga wakimtazama mtoto wao akikata keki kwenye birthday yake

Hakuna mzazi asiye na mapenzi na mtoto wake ila kwa mrembo blac Chyna ameonekana kusahau jukumu lake kama mama baada ya kuzidisha anasa hali iliyopelekea baba wa mtoto Rapa Tyga kuingilia kati na kutaka mtoto awe chini ya ulinzi wa kisheria hivyo kuwa na haki na wajibu wa kufanya maamuzi kuhusu malezi ya mtoto.

Tyga anafikiri zilipendwa wake amepoteza mwelekeo juu ya kumtunza kijana wao kwa sababu amekuwa bize sana kwenye masuala ya starehe.

Maamuzi hayo yanakuja kufuatia video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii hivi karibuni ikimuonyesha Chyna akicheza kwa mtindo wa ku-twerk sambamba na shosti wake Amber Rose pamoja na kuonekana akijiachia katika vilabu mbalimbali vya usiku.

Awali Tyga na Blac Chyna walikuwa wapenzi waliofanikiwa¬† kupata mtoto mmoja wa kiume aitwaye ‘King Cairo’ kabla ya kuamua kutemana kutokana na upepo mchafu wa michepuko kuingilia kati penzi lao.

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s