NAPOLI YATWAA ‘SUPER CUP’ KWA USHINDI WA MATUTA DHIDI YA JUVENTUS

NAPOLI

Wachezaji wa Napoli wakishangilia baada ya kutwaa kombe la Super Cup dhidi ya Juventus

Klabu ya Napoli ilimaliza utawala wa Juventus katika Super Cup ya Italia baada ya kufanikiwa kuifunga kwa changamoto ya mikwaju ya penalti(5 – 6) katika mchezo uliochezwa mjini Doha nchini Qatar.

Golikipa wa napoli Rafael ndiye alikuwa nyota wa mchezo huo baada ya kuokoa penalti ya Simone Padoin huku mshambuliaji Carlos Tevez akiipa Juventus bao la kuongoza kabla ya Gonzalo Higuain kusawazisha na kufanya timu iyo kuwa sare ya bao moja kwa moja katika muda wa kawaida na ule wa nyongeza.

Ushindi huo unakuwa kama kisasi kwa kikosi cha Napoli ambacho kilitandikwa bao 4 kwa 2 katika muda wa nyongeza wakati walipokutana kwenye mchuano huo mwaka 2012.

 

N11

Kocha wa Napoli Rafael Benitez(wa kwanza kushoto) akiwapa maelekezo wachezaji wake, kulia ni kocha wa Juventus ‘Massimo Allegri’ akiwa ameuvuka mstari wa eneo lake baada ya kupandwa na jazba

N10

Kazi haikuwa ndogo

N3

Carlos Tevez akishangilia baada ya kufunga bao la kuongoza kwa timu yake ya Juventus

N6

Mashabiki wa Juventus wakiwa hawaamini matokeo

N9 N8 N7 N4 N5 N1

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s