KICHUPA KIPYA : BRACKET Ft. DIAMOND & TIWA SAVAGE – ALIVE [Official Video]

Bracket-ft.-Diamond-Tiwa-Savage-–-Alive Video Bracket wameachia rasmi  video yao mpya ‘Alive’ wakiwa wamemshirikisha Diamond na Tiwa Savage ambayo imefanywa na kampuni ya Godfather Productions.

Wimbo wa Alive ni historia ya kweli iliyomtokea memba wa kundi la Bracket aitwaye Nwachukwu Ozioko ‘Vast’ baada ya kupambana na saratani ya damu(Lymphoma) mwaka 2013 na pili ikiwa ni sehemu ya shukrani kwa kufanikiwa kuushinda ugonjwa huo hatari.

Bracket wapo kwenye harakati za  mapambano dhidi ya saratani kupitia mradi wao wa Bracket Cancer Foundation utakaozinduliwa karibuni.  Itazame Video hapo chini

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s