KESI INAYOMKABILI SHEIKH PONDA YAAHIRISHWA HADI JANUARI 5 MWAKANI

Sheikh Ponda

Sheikh Ponda akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la Polisi

Hakimu mkazi mahakama ya mkoa wa Morogoro, bibi Mary Moyo amesikiliza pande zote za utetezi na mashtaka kuhairisha  kesi inayomkabili Sheikh Ponda ambapo amesema sababu za kuahirisha ni kutaka kupata muda wa kutosha kupitia hukumu ya mahakama ya Kisutu iliyotupilia mbali kosa la kukaidi amri ya mahakama.

Sheikh Ponda amefikishwa mahakamani hapo  chini ya ulinzi mkali huku akitetewa na mawakili Bathoromeo na Juma Nassoro ambapo katika upande wa mashtaka muwakilishi wa mawakili mwandamizi wa serikali Benard Kongora na Sunday iyera.

Nao wafuasi wa sheikh Ponda wamesikika wakiomba dua nje ya mahakama hiyo wakati kesi ikiendelea kusikilizwa.  Kesi ya Sheikh Ponda imehairishwa hadi January 05 mwaka 2015.

Wafuasi wa sheikh Ponda wakitoka katika viunga vya mahakama

Wafuasi wa sheikh Ponda wakitoka katika viunga vya mahakama

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s