JAY Z NA BEYONCE WAZIDIWA KETE KWENYE UNUNUZI WA JUMBA LA KIFAHARI

Jay X BeyJay Z na Beyonce wamejikuta ndoto zao zikizimwa za kutaka kununua mjengo wa kifahari uliopo eneo la Beverly Hills, California nchini Marekani baada ya kuzidiwa kete na Markus Persson ambae alikuwa mkurugenzi na muanzilishi wa kampuni ya Minecraft  inayohusika na utengeneza gemu za kwenye kompyuta.

Kwa mujibu wa mtandao wa Tmz uliwaripoti Jay Z na beyonce kuutembelea mjengo huo mara mbili kwa lengo la kutaka kuununua kwa gharama za dola milioni 85, hata hivyo bahati haikuwa ya kwao.

Mapema wiki hii, Persson alilinunua jumba hilo kwa dola za kimarekani milioni 70, akiwa ni mtu aliyenunua nyumba kwa bei ghali zaidi katika eneo hilo wanaloishi watu wenye mikwanja yao na mastaa nyota kama vile Tyga, Jennifer Aniston, Christina Aguilera, Ciara, Carmelo Antony na familia ya Kardashian.

Mwishoni mwa mwezi Septemba, Persson aliwauzia Microsoft kampuni yake kwa dola bilioni 2.5 na kisha kununua mjengo huo wa kifahari wenye sehemu 16 za kulaza magari, chumba maalum cha kutazama muvi, vyumba 8 vya kulala, mabafu 15, bwawa kubwa la kuogelea, chumba maalum cha michezo kwa watoto na mazagazaga mengine kibao. utazame mjengo huo hapo chini

article-2759554-216EC4B400000578-493_964x636 article-2759554-216EC4B800000578-727_964x636 article-2759554-216EC4C400000578-434_964x636 article-2759554-216EC4CC00000578-906_964x636 article-2759554-216EC4D400000578-52_470x311 article-2759554-216EC4DA00000578-109_470x311 article-2759554-216EC4F800000578-650_964x636 article-2759554-216EC50D00000578-421_964x636 article-2759554-216EC45500000578-160_964x636 article-2759554-216EC47500000578-87_964x636 article-2759554-216EC54400000578-874_964x636 article-2759554-2169056800000578-633_964x642 Mansion 1 Mansion2 Theatre

Markus Persson ambaye ni mmiliki wa mjengo huo

Markus Persson ambaye ni mmiliki wa mjengo huo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s