ADAI KUVUNJA AMRI YA SITA NA WIZKID KWA USHAHIDI WA PICHA HIZI

wizkid2Mwanamke mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina lake amedai kuvunja amri ya sita na supa staa wa Show Your Money Wizkid na kwenda mbali zaidi kwa kutoa ushahidi wa picha za chumba cha hoteli walichotumia kufanyia uhasherati wao sambamba na kumpiga vijembe mpenzi wa Rapa uyo aitwaye Tania Omotayo.

”Nimekuwa nikimtolea macho Wizkid kwa muda mrefu. Yeye amekuwa akinialika mjini Lagos. Tulilala wote usiku kwenye hoteli ya Eko. Tulikunywa na kufanya mambo mengi machafu, alinijali na kunipa zawadi.  Nilichagua kukaa kimya ndio maana nimetumia barua pepe ya rafiki yangu kufikisha ujumbe huu”,  alisema mwanamke uyo.

Aliongeza kwa kusema, ”Unaweza ukaona Tattoo, saa yake ya Rolex, gari lake na kompyuta mpakato anayotumia.@TaniaOmotayo,  kama anafanya hivi pindi ukiwa Lagos, fikiria nini tutakachokuwa tukifanya wakati yeye akija kwenye mji wangu. hataacha kuhitaji mwili wangu katika kitanda chake”.

”alinipandisha kwenye Porsche yake, tukalala Eko, tukatazama filamu kwenye laptop yake. Anapendezwa na ladha yangu  Tania, nina ladha gani juu ya lips zake?’hivyo ndivyo alivyofunguka mwanadafada uyo.

Wizkid-bedroom-mistress-1

Moja ya Picha aliyovujisha mwanadada uyo ikimuonyesha Wizkid akiwa amelala kitandani huku Tattoo yake ikionekana vyema kabisa

Wizkid-bedroom-mistress-2

picha nyingine akiwa kwenye siti za nyuma za mkoko aina ya Porsche unaomilikiwa na Wizkid ambaye anaonekana nusu akiwa kwenye kiti cha mbele cha dereva

Wizkid-bedroom-mistress-3

Saa ya Wizkid aina ya Rolex

Wizkid-bedroom-mistress-4

Picha nyingine aliyoposti ya kompyuta mpakato ya Wizkid

Wizkid na Tania Omotayo

Wizkid na Tania Omotayo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s