PICHA : WASTARA AMUANGUSHIA BONGE LA BIRTHDAY MWANAE WA KIUME

Msanii nyota wa Bongo Movie na mkurugenzi wa kampuni ya WA JEY Film Production, Wastara Sajuki amemuangushia bonge moja la birthday mtoto wake wa kiume aitwaye Farees aliyekuwa akitimiza umri wa miaka 10 wikiendi iliyopita(Dec.21).

Sherehe hiyo ilihudhuriwa na baadhi ya mastaa wa filamu akiwemo Bond Bin Sinnan, Nisher pamoja na kampani ya nguvu kutoka kwa marafiki wa birthday boy, ndugu na jamaa wa karibu. Tizama kilichojiri katika picha hapo chini

W5

Keki ya B’day Boi ‘Farees’

W6

Ulipowadia ule wasaha wa kata keki tule

 

W3

Birthday boi ‘Farees’ akimlisha keki dada yake.

 

W2

Bond, Farees na Wastara katika pozi

 

W1

Haya sasa ni wakati wa Action & Cut

W4

Mr.Birthday Boi katika pozi

W7

Muigizaji Nisha akipata ukodaki na B’day Boi

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s