NAY WA MITEGO : KIUKWELI MIMI NI MUOGA SANA WA KUOA

Nay Wa Mitego - Mr. NayWanakwambia bora ukosee kujenga nyumba kuliko kukosea kuoa. Msanii wa muziki wa Bongo-Fleva, Nay wa Mitego ameweka wazi kuwa pindi anapofikiria suala zima la kuoa huwa anaingiwa na uwoga na kudai ni moja ya vitu anavyoviogopa sana katika maisha yake.

Akizungumza katika mahojiano kwa njia ya simu  na mtangazaji wa E-Newz ‘Dominic Nyalifa’, hitmaker wa nakula ujana alifunguka kama ifuatavyo…

Kiukweli kabisa mimi ni muoga sana wa kuoa, sijui kwanini? ila ni moja ya vitu ambavyo naviogopa, sijui naogopa kukurupuka au sijui naogopa nini, mimi hivyo vitu viwili naviogopa sana, sijui ni uoga wa maisha, sijui ni uoga wa nini ila naogopa kufa, naogopa kuoa”, alisema Nay ambaye ni baba wa mtoto mmoja wa kiume aliyezaa na mpenzi wake ‘Siwema’ mwezi mmoja uliopita.

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s