LIL WAYNE ACHORA TATTOO NYINGINE USONI

Rapa wa Young Money, Lil wayne ameongeza idadi ya Tattoo mwilini mwake baada ya kuchora nyingine mbili kwa mpigo usoni, moja ukiwa ni mchoro wa jicho na nyingine yakiwa ni maneno ya kiarabu.

Bado haijafahamika sababu zilizompelekea Weezy kufanya hivyo licha ya kuwepo kwa vuguvugu la kutaka kuondoka katika lebo yake kutokana na kucheleweshwa kutoka kwa albamu yake ya ”The Carter V”.

Weezy

Weezy akionyesha mchoro wa Tattoo aliochora chini ya kidevu

Lil Wayne Tattoo

Hii ni Tattoo nyingine aliyochora yenye maneno ya kiarabu

Advertisements

One thought on “LIL WAYNE ACHORA TATTOO NYINGINE USONI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s