KICHUPA KIPYA : JCB Ft. BEN POL – I DON’T CARE [Official Video]

JCB - I Don't CareMwanamuziki wa Hip-Hop anayewakilisha kundi la Watengwa lenye makazi yake jijini Arusha, Jacob makalla ‘JCB’ ameachia video ya nyimbo yake inayoitwa ”I Don’t Care” akiwa amemshirikisha ‘Ben Pol’ kwenye chorus.

Video hiyo imefanywa na kampuni ya YKMK Production chini ya muongozaji Gee Saleh mjini Copenhagen nchini Denmark sehemu alipozaliwa mke na mama watoto wa JCB(Jesus Come Back). Enjoy Video hapo chini

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s