PICHA : WANUSURIKA KIFO BAADA YA KONTENA KUANGUKIA GARI WALILOPANDA

Tukiwa tumebakiwa na siku 10 mkononi  kuweza kuumaliza mwaka 2014, ajali nyingi zimekuwa zikijitokeza na kupelekea kukatisha  maisha ya watu  hasa zikichangiwa na uzembe wa  madereva wenyewe.

Katika hali ya kushangaza familia moja ya watu watano imenusurika kupoteza maisha baada ya kontena lililokuwa limebebwa na lori kuangukia gari dogo walilokuwa wamepanda kwenye barabara ya Ikorodu mjini Lagos nchini Nigeria Ijumaa iliyopita(Dec.19).

f31

Pichani ni gari dogo la familia hiyo likiwa limeangukiwa na kontena

f22

Muonekano wa nyuma wa gari hilo

f12

Baada ya kontena na majeruhi  kutolewa

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s