PICHA ZA MAZISHI YA AISHA MADINDA

Aliyekuwa mnenguaji wa Twanga Pepeta, marehemu Aisha Madinda amepumzishwa kwenye makazi yake ya milele katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya kibada Kigamboni baada ya swala ya Ijumaa(Dec.19).

Watu wengi wakiwemo wadau wa tasnia mbalimbali za sanaa, ndugu, jamaa na marafiki walijitokeza kumsindikiza mpendwa huyo aliyekuwa kipenzi cha watu wengi enzi za uhai wake. 

IMG_1178

Sheikh akitoa wasaa kwa wafiwa

IMG_1352

Mnenguaji wa Twanga, Supa Nyamwela nae pia laikuwepo msibani

IMG_13003

Mkurugenzi wa bendi ya Extra Bongo, Ally Choki(Katikati) akiteta jambo na Mzee Zahir Ally Zoro

IMG_1249

Mtoto wa Marehemu, Feysal Madinda(Katikati aliyevaa barakashea) akifarijiwa na jamaa zake

IMG_1231

Waombolezaji wakisoma kisomo maalum kwa marehemu

IMG_1268

Mkurugenzi wa Twanga Pepeta ‘Asha Baraka’ akiwa katika nyuso ya huzuni msibani

IMG_1212

Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa wameubeba mwili wa marehemu Aisha Madinda wakielekea makaburini

picha 4

Mwili wa marehemu Aisha madinda ukishushwa kaburini

picha 5

Waombolezaji wakisaidia kuweka mambo sawa makaburini

     picha 6 picha 7 picha 8Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema peponi

Amen

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s