MABESTE AMKINGIA KIFUA MAMA WATOTO WAKE : ”WABONGO HAWAKOSI CHA KUSEMA”

Mabeste na mama watoto wake Lisa

Mabeste na mama watoto wake Lisa

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania, Mabeste Venance amemkingia kifua meneja na mama watoto wake aitwaye Lisa na kuwashangaa watu wanaodai kwamba tangu aanze kumenijiwa na mwanamke huyo imempelekea apotea kabisa kwenye gemu.

Hitmaker huyo wa ”Baadae sana” ameeleza chanzo cha ukimya wake kimetokana na kuuguliwa na mkewe kwa kipindi kirefu sana tangu alipojifungua mtoto wake wa kwanza wa kiume.

Ukweli ambao sijawai usema nimeuficha kwa mda mrefu ni huu wife wangu ameumwa mda mrefu sana ever since kajifungua my son hakua sawa….then hali ikawa mbaya zaid five months ago! So I had to be there for her,ilifikia stage nikahis I will loose her!” aliandika mabeste kwenye ukurasa wake wa Facebook.

Mabeste alienda mbele zaidi na kuongeza, ”I lost my mom nikiwa mdogo I didn’t want the same for my son….mda mwingi nimeutumia kumuuguza my wife na kucheer na mtoto wangu!! Hapo awali nlikua napost picha za wife nikisema get well soon na zingine nikiwa church!! Nlitumia mda wangu kuuguza na nikishinda church kumuomba Mungu! So kazi zisingeweza kwenda hata kama ningekua Bhits au ningekua na manager mwingine!! Nilificha nikasingizia vngine but coz lies n rumors zmekua nyingi lemmi b open to my fans, now Mungu amejibu maombi yuko poa sana!”.

Behind every successful Men there is a woman!! Nisiongee sana kapona acha tuone 2015! Mlio dhani mabeste kaishiwa mimi mwenzenu ndo kwanza naanza safari….” aliandika mbeste.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s