HARD WORK PAYS OFF! KCEE AONYESHA MIKOKO YA KIFAHARI ANAYOMILIKI

KceeMwanamuziki wa Nigeria anayesumbua na ngoma  ya Limpopo, Kingsley Chinweike Okonkwo ‘Kcee’ ameshea na mashabiki wake picha za mikoko minne ya kifahari anayomiliki kwa sasa kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Magari hayo ni pamoja na Range Rover Sports, BMW X6, Cadillac Escalade na Mercedes Benz AMG ambayo ameyanunua katika kipindi cha mwaka 2014 kupitia mafanikio aliyoyapata kutoka kwenye albamu yake ya Take Over.

kcee-1 kcee2

Advertisements

One thought on “HARD WORK PAYS OFF! KCEE AONYESHA MIKOKO YA KIFAHARI ANAYOMILIKI

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s