VIDEO : MWANAMKE NYONGA!! CHRIS BROWN ACHIZISHWA NA VIUNO VYA AMBER ROSE

Chris Brown akichizishwa na nyonga za Amber Rose

Chris Brown mwenye Tshirt nyeupe akipewa kitu roho inapenda na mwanadafada Amber Rose

Bado haijafahamika kama zilikuwa ni akili za usiku au waliamua kufanya kusudi, kufuatia mwanadafada Amber Rose kunaswa akimkatia nyonga mithili ya nyoka wa kibisa mwanamuziki Chris Brown kwenye klabu moja ya usiku iliyopo  jijini Los Angels nchini Marekani hali ilyopelekea kuzuka kwa mingong’oni kutokana na wawili hao kwa sasa kuwa singo.

Ukiangalia kwa makini video hiyo, bila shaka utaona ni jinsi gani Chris Brown alivyochizishwa na staili ya uchezaji inayobamba kwa sasa(Ku-twerk) aliyokuwa akipewa na ex wa Rapa Wiz Khalifa. Itazame hapo chini na kisha tudondoshee maoni yako.

Amber Rose na Blac Chyna

Amber Rose na Shostito wake Blac Chyna wakiingia kwenye klabu ya usiku

Amber na Chris Brown

Chris Brown akipewa  vitu adimu na   Amber Rose

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s