UNYUMBA WASABABISHA MCHEZAJI WA ARSENAL ‘ALEXIS SANCHEZ’ KUMTEMA MPENZI WAKE

Sanchez

Alexis Sanchez akiwa na mpenzi wakeLaia Grassi enzi ya mapenzi motomoto

Kiungo mshambuliaji wa Arsenal Fc, Alexis Sanchez ameamua kumpiga kibuti mpenzi wake aliwahi kutwaa taji la Miss Chile aitwaye Laia Grassi kwa kile kilichotajwa kuwa ni masuala ya unyumba.

Kwa mujibu wa gazeti la Cuarta la nchini Chile limeripoti kwamba Sanchez ameshindwa  kumtimizia mpenzi wake hitaji la unyumba  kwa sababu ya  umbali uliopo baina yao na kuwa bize na klabu yake  yenye makazi mjini London Uingereza na hivyo kuamua kumtema.

Kuvunjika kwa uhusiano wao umepelekea Grassi kuondoa picha zote za Sanchez alizowahi kuzi-post kwenye akaunti yake rasmi ya Instagram, kitendo kilichojidhihirisha wazi kwamba hakuna tena mapenzi  kati yao.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s