PICHA NA VIDEO: JOKATE AINGIA UBIA NA KAMPUNI KUBWA YA CHINA

Jokate na mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Rainbow wakipata ukodaki huku wakionyesha hati ya mkataba wa ushirikiano waliosani

Jokate na mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Rainbow wakipata ukodaki huku wakionyesha hati ya mkataba wa ushirikiano waliosani

Mtangazaji na Mwanamitindo daraja la kwanza Bongo, Jokate Mwengelo ameendelea kujitanua kibiashara kupitia kampuni yake ya ”Kidoti” inayojihusisha na masuala ya urembo baada ya kuingia ubia na kampuni moja kubwa ya China inayoitwa RainBow Shell Craft Company Limited‘  wakiwa na lengo la kuwekeza zaidi katika masuala ya urembo wa kinadada.

Katika kuthamini mchango wake mkubwa kwenye jamii, Jokate alipata kampani ya nguvu kutoka kwa mama yake mzazi, Meya wa jiji la Dar, wadau mbalimbali wa fashooni, ndugu, jamaa na marafiki wakati wa uzinduzi wa bidhaa zinazobuniwa na Kidoti na kutengenezwa na kampuni aliyoingia nayo ubia uliyofanyika jana(Dec.19) kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es salaam.

Jokate Mwengelo

Jokate katika picha ya pamoja na wadau.

Jokate akizindua bidhaa zinazobuniwa na Kidoti na kutengenezwa na kampuni ya

Jokate akizindua bidhaa zinazobuniwa na Kidoti na kutengenezwa na kampuni aliyoingia nayo ubia

Jokate

Nani kama mama??? Jokate akimpa busu la kichwa mama yake mzazi wakati wa uzinduzi

Jokate akitoa neno baada ya kusaini mkataba na kampuni ya Rainbow

Jokate akitoa neno baada ya kusaini mkataba na kampuni ya Rainbow

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s