PICHA : HONGERENI WADAU KWA KULAMBA NONDOZZZ

Blogu ya larrybway91 inawapongeza wadau wake wote waliofanikiwa kupata shahada zao za masomo kutoka vyuo vikuu mbalimbali vilivyopo ndani na nje ya nchi kwa mwaka 2014 baada ya kusota darasani  kwa kipindi kirefu sambamba na kupitia changamoto nyingi ikiwa ni  katika kutimiza ndoto zao walizojiwekea tangu hapo awali. 

Marry usiri

Dada yake mwenyewe, Mary usiri baada ya kulamba shahada ya Elimu na Uongozi katika chuo kikuu cha St.Augustine(SAUT) kilichopo mkoani Songea

 

Omari Mpulaki AKA Dju'rovic Van Lamm

Mdau  Omary Mpulaki, mhitimu wa chuo kikuu cha Ardhi akipata ukodaki na wndugu zake mara baada ya kupata nondozz  yake ya uhandisi wa majengo katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee

Violeth Muro

Mtu wangu wa ukweli ‘Violeth Muro’ A.K.A Totoo mhitimu wa chuo kikuu cha Bangalore kilichopo nchini India baada ya kulamba shahada yake ya Sayansi na teknolojia(I.T)

Frank Mlega

Mdau Frank Mlega(Wa Kwanza Kushoto) na mhitimu mwenzake wakipata ukodaki wakati wa mahafali chuoni kwao.

Kwa wale wenye picha za sherehe, Birthday, Graduation au matukio muhimu ambayo ungependa kushea na wadau wengine, usisite kututumia kwa njia ya barua pepe  : hillaryusiri@gmail.com au namba za simu/whatspp : +255 717 54 73 25.

Wote Mnakaribishwa

Advertisements

One thought on “PICHA : HONGERENI WADAU KWA KULAMBA NONDOZZZ

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s