KICHUPA KIPYA : JOH MAKINI Ft. GNAKO – XO [Official Video]

Joh Makini - XoMwamba wa kaskizini, Joh Makini ameachia rasmi video yake mpya ya ”XO”  akiwa amemshirkisha mwanafamilia mwenzake ‘Gnako Warawara’ anayewakilisha Crew ya Weusi.

Video imefanywa kwenye fukwe za Kigamboni jijini Dar es salaam chini ya muongozaji mahiri Nisher huku upande wa audio ikipikwa na Producer mtanzania mwenye makazi yake nchini Kenya anayefahamika kwa jina la Sappy.

NB : Maana ya neno XO ni ufupisho wa ”Busu na kumbatio” au kwa kimombo ”Kiss & Hug”Enjoy Video!

 

 

 

 

 

Advertisements

One thought on “KICHUPA KIPYA : JOH MAKINI Ft. GNAKO – XO [Official Video]

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s