BOBBY SHMURDA MIKONONI MWA POLISI KWA TUHUMA ZA MAUAJI

Bobby Shmurda akiwa mikononi mwa polisi

Bobby Shmurda na washirika wake wakiwa mikononi mwa polisi

Staa wa ngoma ya Hot Nigga, Ackquille Pollard A.K.A Bobby Shmurda huenda akaumaliza mwaka vibaya pamoja na crew yake  inayofahamika kama GS9  baada ya kukamatwa na mapolisi usiku wa jumanne(Dec.16) kwa kutuhumiwa kufanya makosa mbalimbali ya kihalifu ikiwemo kuhusika kwa mauaji, biashara ya madawa ya kulevya na mashambulio ya kimwili.

Kwa mujibu wa waendesha mashitaka kutoka mji wa New York wametoa mashitaka zaidi ya 15 ya kihalifu  yanayowakabili dhidi yao ikiwemo mauaji, jaribio la mauaji, unyanyasaji na kushughulika na biashara haramu ya madawa ya kulevya.

Bobby  mwenyewe ameshtakiwa kwa kula njama za kufanya mauaji lakini si mauaji yenyewe na mashitaka machache ya silaha na madawa ya kulevya ikiwemo kushambulia kundi la watu kwa risasi  waliokuwa wamekaa nje ya saluni moja ya kiume Wakati kwa upande wa kundi la GS9 walikutwa na silaha za moto zipatazo 21 katika milki yao.

Mtandao wa TMZ umemripoti Bobby kuchajiwa  dhamana ya dola za kimarekani milioni 2. Itazame orodha ya mashtaka yanayomkabili hitmaker huyo wa hot nigga hapo chini.

720x304.png.68adb040f3f24768bd965472b0f9877e

GS9

Pichani ni silaha 21 zilizokutwa kwenye milki ya kundi la GS9 linaloendeshwa na Bobby Shmurda

 

 

 

 

 

 

 

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s