50 CENT ALAMBA MKATABA MNONO NA KAMPUNI INAYOTENGENEZA NGUO ZA NDANI ZA KIUME

Shikamoo Pesa!! 50 Cent akicheka na wamiliki wa kampuni ya Frigo baada ya kuingia nao mkataba mnono

Shikamoo Pesa!! 50 Cent akicheka na wamiliki wa kampuni ya Frigo baada ya kuingia nao mkataba mnono

Kwa wale waliokuwa wakisubiri kusikia Rapa 50 Cent amefulia! wanatakiwa watafute masofa wakae kabisa, kwani hitmaker huyo wa ”In Da Club” amefanikiwa kutunisha tena akaunti zake za benki baada ya kuingia mkataba mnono wa dola milioni 78 za kimarekani na kampuni ya ”Frigo Revolution Wear inayosifika kwa utengenezaji wa nguo za ndani za kiume.

Katika kuonyesha mambo yamekwenda kama yalivyopangwa sambamba na kuwalambisha ndimu wabaya wake, 50 cent alirusha dongo kwenye ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika,I just did a deal for $78 million for underwear. What did you muth*f*ck*s do today? Lllllllllooooolllllllllll #Boom #FRIGO”.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s