PICHA ZA KIMORA LEE AKIPONDA RAHA NA UJAUZITO WAKE

Kimora Lee Simmons1

Pichani ni Kimora Lee aliyevaa nguo nyeusi na miwani ya jua akila bata pamoja na familia yake

Mdau mkubwa wa fashooni na mjasiriamali, Kimora Lee Simmons ameamua kuanika pasipo kupepesa ujauzito wake wakati akiwa mapumzikoni pamoja na familia yake kwenye fukwe za St.barths.

Kimora mwenye umri wa miaka 39 anategemea kumpatia zawadi ya mtoto(wa kiume au wa kike) mume  wake wa sasa ambaye ni bilionea wa kirusi aitwaye Tim Leissner akiwa ni mtoto wake wa nne kutoka kwa wanaume watatu tofauti ukiachilia wawili wa kike(Ming na Aoki) aliozaa na Russell Simmons na mmoja wa kiume(Kenzo) aliyezaa na muigizaji Djimon Honsou.

Nisingependa nikuchoshe sana ndugu msomaji wa blogu pendwa ya Larrybway91, fanya kutupia jicho hapo chini  picha za mama kijacho Kimora akiponda raha na familia yake akiwemo mumewe wa zamani Russell Simmons.

Kimora St.Barts

Inaitwa kula bata mpaka kuku waone wivu

Kimora Lee123

Kimora lee akipunga jua kwenye fukwe za St.barths

Kimora lee Simmons

Kimora na binti yake Aoki

Kimora Lee1

Mama Kijacho Kimora Lee

Kimora

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s