PICHA : DIAMOND, ZARI WAWEKA HISTORIA NCHINI UGANDA

Wenyewe wanakwambia Tatizo Nyotaaa!!! Hitmaker wa My Number One na mshindi wa Tuzo tatu za Channel O Music, Diamond Platnumz na mpenzi wake Zarinah wameweka historia ya aina yake nchini Uganda baada ya kuangusha bonge moja la party lililopewa jina la ”Zari All White Ciroc Party” iliyofanyika Alhamisi(Dec.18) kwenye ukumbi wa Guvnor jijini Kampala na kuhudhuriwa na nyomi ya watu miongoni mwao akiwemo Dr.Jose Chameleone, Eddie Kenzo, Crew nzima ya Wasafi pamoja na Papaa Jack Pemba. 

Tazama picha zaidi hapo chini upate kuona mambo yalivyokuwa

Zari Akipigwa make-Up

Mpenzi wa Diamond ‘Zari’ akipigwa make-up kabla ya kuelekea kwenye party

Mikufu ya bei mbaya ya bibie Zari

Vito vya bei mbaya vinavyomilikiwa na Boss Lady zari

Zarih

Diamond na Baby’ake Zari wakitaniana

Kamanda wa kikosi cha jeshi Uganda akiwasubiri Diamond na Zari nje ya chumba

Baunsa na Kamanda wa kikosi cha jeshi la Uganda wakiwa nje ya chumba cha hoteli walichofikia Diamond na Zari wakiangalia usalama

Dai na Zari

Zari akipata ukodaki nje ya chumba chake baada ya kupigwa make-up na kutupia viwalo vyake matata

Daimond na Zari

Diamond, Zari na kikosi kizima cha Wasafi wakitoka nje ya Lifti ya hoteli waliyofikia

Wasafi President

Inaitwa ukishikwa, shikamana, Diamond akimfungulia mlango baby’ake Zari   tayari kwa safari ya kuelekea ukumbini

Zari na Diamond

Wawili wakipendana, Adui hana nafasi..Tatizo Nyotaaa

Diamond akimuongoza Zari

Diamond na Zari wakielekea eneo la V.I.P baada ya kuwasili kwenye ukumbi wa Guvnor

Zari All White Ciroc Party1

mabaunsa ilibidi watumie nguvu ya ziada kuweza kuwasaidia Dai na zari kuweza kuelekea eneo maalum la V.I.P waliloandaliwa

Ciroc party

Palikuwa hapatoshi, Dai na zari wakiwa wamezungukwa na waandishi wa habari wa media mbalimbali

Diamond Platnumz

Waandishi wakiwa wamewazingira wageni Rasmi

Diamond na Zari uganda

Inaitwa Tatizo nyota

Zari All White Ciroc Party

Jose Chameleone akipata ukodaki na Rais wa Wasafi

Diamond akiwapa ladha wageni waalikwa

Hapa ni ule Muda ulipowadia wa Sukari ya warembo kuwapatia ile kitu roho inapenda watu waliohudhuria party ya  Zari All White Ciroc 

Jack Pemba

Mutu mukubwa au unaweza kumuita Papaa Jack Pemba akimmwagia mijihela Diamond Platnumz wakati akitumbuiza

Diamond & Zari All White Ciroc Party

Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba tangu ukumbi wa Guvnor uanze kutumika haukuwahi kujaza nyomi kama hii

Diamond na Msanii wa Uganda Eddy Kenzo

Diamond, Zari na Msanii nyota wa Uganda ‘Eddie Kenzo’ wakipata ukodaki

34 thoughts on “PICHA : DIAMOND, ZARI WAWEKA HISTORIA NCHINI UGANDA

  1. Sema Ukwel Hii Hapna Hawawili Hawaendan Hata Kidogo. But De 2th Iz Diamond Hata Zunguka Kote Lkn Hatarud 2 Kwa Mis Tz 2006 Wema Sepetu. I Think Dis Iz Al I Can Say.

  2. hapo kaka ckusapot hata kdogo coz zar hatakama kakupenda ila angalia kakuzidi umri mwenzako ana 2 chilndren ww nawe

  3. Aah wap dai umekoxea njia hapo rud kwa mtot mkal mnyatr org kwa zar cwz kukuxaport hta kidg jarb kufikiria zaid

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s