PICHA : DIAMOND APOKELEWA KAMA MFALME NCHINI UGANDA

 

Msanii nyota wa kimataifa anayesumbua katika medani ya muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul A.K.A Diamond Platnumz amepokelewa kama mfalme nchini Uganda na msafara mkubwa wa magari ya kifahari ukiwa umeratibiwa na baby’ake Zari The Boss Lady.

Inaelezwa kwamba kwa sasa Diamond yupo nchini Uganda kwa ajili ya kuangusha shoo ya aina yake katika party ya nguvu iliyoandaliwa na wa ubani wake wa sasa inayofahamika kama ”Zari All White Ciroc Party” itakayofanyika Dec.18 mwaka huu kwenye ukumbi wa Guvnor nchini hapa.

 

Diamond Platnumz x Zari

Pichani ni Diamond alipowasili kwenye uwanja wa Taifa nchini Uganda na kupokelewa na mpenzi wake Zari sambamba na mikoko ya kifahari.

Diamond1 Zari1

Diamond katika mapozi tofauti ya kichokozi na baby’ake Zari

 

 

Diamond Platnumz1

Kikosi kjizima cha Wasafi kikipata msosi wa nguvu ulioandaliwa na Zarinah

 

Dangote

Baada ya kushiba kinachofuata ni kutaniana kwa kwenda mbele, Diamond(Wa kwanza kushoto) akiteta jambo na mmoja wa mameneja wake

Diamond X Zari All White Party

Sio mbaya kuosha vitu vya shemeji, DJ wa Diamond, Romy Jones akitokelezea katika moja ya mikoko ya kifahari inayomilikiwa na  Zari The Boss Lady

 

Advertisements

One thought on “PICHA : DIAMOND APOKELEWA KAMA MFALME NCHINI UGANDA

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s