I WOKE UP IN A NEW BUGATTI!!! WIZ KHALIFA ANUNUA MKOKO WA KIFAHARI AINA YA BUGATTI VEYRON

Wiz KhalifaRapa wa marekani anayetamba na ngoma ya ”We Them Boyz”, Wiz Khalifa mwenye utajiri unaokadiriwa kufikia Dola za kimarekani milioni 30 ameamua kuufunga mwaka 2014 kwa kununua mkoko wa bei mbaya aina ya Bugatti Veyron uliomgharimu takribani dola za kimarekani milioni 2.5(Tsh 4 Bilioni).

Ukiachilia mbali Wiz Khalifa, masupastaa wengine wanaomiliki mkoko kama huo  ni pamoja na bondia Floyd Money Mayweather,  Jay Z, Birdman,  Justin Bieber, Florida,Tom cruise, Simon Cowell na wengineo wachache.

Khalifa

Mkoko wa Wiz Khalifa aina ya Bugatti Veyron

bugatti4

I Woke Up In A New Bugatti

 

 

 

 

Advertisements

One thought on “I WOKE UP IN A NEW BUGATTI!!! WIZ KHALIFA ANUNUA MKOKO WA KIFAHARI AINA YA BUGATTI VEYRON

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s