DUME ZIMA LATUMIA ZAIDI YA DOLA 150,000 ILI AFANANE NA KIM KARDASHIAN

IFWT_kim-kardashian-north-west

Kim Kardashian akiwa amembeba binti yake North west

Tumekuwa tukisikia watu mbalimbali Dunia wakike kwa waume wakitumia mkwanja mrefu kubadili mionekano yao ili waweze kutimiza ndoto zao za kufanana na mastaa nyota ambao wanawazimia kwa namna moja ama nyingine.

Lakini katika hali ya kushangaa ama si kupigia mstari ule msemo usemao ‘Dunia imevaa sketi”, Dume moja Raia wa Uingereza aliyefahamika kwa jina la ‘Jordan James Parke’ nae ameamua ku-break The internet baada ya kutumia takribani Dola za kimarekani 150,000(Tsh300Mil) kubadili muonekano wake na kuwa kama wa mwanadafada Kim Kardashian A.K.A  Mrs.West.

Kwa mujibu wa mtandao wa UPROXX ulimripoti kwa mara ya kwanza Parke baada ya kufumania picha zake akiwa kwenye muonekano na mikogo ya ki-Kim K kunako kwenye akaunti yake rasmi ya mtandao wa Instagram.

Parke anadai alianza kuvutiwa na muonekano wa Kim baada ya kutazama kipindi cha Keeping Up With The Kardashians miaka michache iliyopita hali iliyompelekea kufanya maamuzi ya kujikarabati ili aweze kufanana nae.

Parke

Pichani ni Parke baada ya kubadili muonekano wakena kuwa kama wa Kim K

Parke2

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s