EXCLUSIVE : DIDDY AMTEMBEZEA DRAKE KICHAPO KITAKATIFU

Drake & DiddyBaada ya kudaiwa kuchepuka na mchumba wa Chris Brown aitwaye Karrueche, Rapa Drake amekiona cha mtema kuni kufuatia kuchezea kipigo kitakatifu kutoka kwa the big boss wa lebo ya Bad Boys ‘Diddy’ usiku wa Jumapili(Dec.07) nje ya klabu ya usiku ya LIV iliyopo mjini Miami.

Inanyetishwa kwamba ugomvi huo ulizuka wakati wawili hao na mastaa wengine walipokuwa wakisherekea siku ya kuzaliwa ya Dj Khaled lakini mambo yalibadilika baada ya Drake kuanza kumbambia mchumba wa Diddy, Cassie huku akiwa amelewa kitendo kilichoonekana kumchefua mkongwe huyo.

Hata hivyo baadhi ya mashuhuda waliokuwepo eneo la tukio akiwemo Rick Ross pamoja na Dj wake Sam Sneak wamekanusha kwamba ugomvi huo haukutokana na Cassie.

Hizi ni baadhi ya Tweets alizoandika Dj wa Maybach Music ‘Sam Sneak akielezea madhara aliyoyapata Drake ya kutenguka bega baada ya kichapo  hali iliyopelekea akimbizwe hospitali kwa matibabu zaidi.

Tweets

Dj Sam Sneak Tweeets

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s