RAPA XZIBIT AKAMATWA NA POLISI SAA CHACHE BAADA YA KUFUNGA NDOA

Rapa na mtangazaji wa kipindi cha ”Pimp My Ride”, Alvin Nathaniel Joiner A.K.A Xzibit alijikuta akikatishwa furaha yake masaa machache baada ya kufunga ndoa takatifu na mchumba wake wa muda mrefu ‘Krista Joiner’ kufuatia kukamatwa na askari wa usalama barabarani wikiendi iliyopita(Nov 29).

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ umeripoti kwamba Xzibit alikamatwa katika fukwe za Laguna mjini Los Angels nchini Marekani kwa kosa la kuendesha gari kwa kasi huku akiwa ameutwika pombe.

Nisikuchoshe sana, fanya kuzitupia jicho picha za Mr & Mrs Xzibit hapo chini

x1

xzibit

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s