RAIS OBAMA AZUNGUMZIA SAKATA LA KIFO CHA MIKE BROWN NA ERIC GARNER

Barack ObamaHATIMAYE! Rais wa Marekani ‘Barack Obama’ amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusiana na sakata la vifo vya wamarekani weusi wawili ”Mike Brown na Eric Garner” waliouwawa na maafisa askari wazungu siku chache zilizopita kwa kile kilichotajwa kuwa ni ubaguzi wa rangi hasa kutokana na mahakama kutowachukulia hatua yoyte watuhumiwa wa mauaji hayo ya kukusudia.

Katika mahojiano na kituo cha BET yaliyofanyika Jumatatu(Dec.8), Rais Obama ameeleza kwamba ishu hiyo itachukua muda kutatuliwa ingawa njia mbadala ya kulitatua imepatikana.

This is something that’s deeply rooted in our society, it’s deeply rooted in our history,” alisema Rais Obama na kuongezea. But the two things that are going to allow us to solve it: No. 1 is the understanding that we have made progress. And so it’s important to recognize — as painful as these incidents are — we can’t equate what’s happening now to what was happening 50 years ago”.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s