MARTIN KADINDA AZUNGUMZIA SHOE LINE YAKE ‘MUGAT!’

Martin kadindaMbunifu mahiri wa mavazi na mwanamitindo, Martin Kadinda amesema imefika wakati wa kutambua kwamba Tasnia ya mitindo nchini Tanzania ina wigo mpana zaidi ya mavazi na kwa kuanza yeye amejiongeza kwa kuja na brand yake ya viatu inayoitwa ‘Mugati’ ambayo imezinduliwa rasmi Jumapili(Dec.07) wakati wa utoaji wa Tuzo za Swahili Fashion Week.

Akizungumza kwenye interview fupi aliyofanyiwa na kipindi cha E-newz ya EATV, Martin Kadinda au unaweza ukamuita ”The Buttonist” alikuwa na haya yakusema..

”Am very happy, hamna kitu kizuri kama kuwa na ufahari wa kile ulichonacho, nadhani watanzania wanataka kuwa na ufahari wa kile walichonacho, kwahiyo ni wakati wa sisi kuwa na vitu vyetu, tukawa na mikanda ya kwetu,miwani, boksa…everything kinaweza kikatengenezwa Tanzania, wenzetu waweze kwanini sisi tusiweze” alisema Kadinda

Martin Kadinda amepata kujizolea umaarufu mkubwa kupitia tasnia ya mitindo hasa kutokana na bidhaa zake anazobuni kutokea kupendwa na watu ikiwemo ile ya Single Button pamoja na Kwachukwachu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s